Log in
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG

DAKAWA PERFOMING ARTS ORG

MVOMERO DISRTICT, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Partner Organizations
African Heritage Foundation

African Heritage Foundation

Kwamba ni mashirika yanayofanya kazi zinazolandana katika kukuza na kurithisha Utamaduni wa mtanzania katika jamii.

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION

Latest Updates
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION: HOJA YA KUJADILI; – Maadili ya Uchaguzi wa Rais Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020 katika uchaguzi wa Urais, Wabunge na Madiwani je Wapiga kura wanayafahamu?
September 3, 2020
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION.Inakaribisha wabia wa maendeleo kwa jamii katika kufanya nao kazi ili kufikia lengo la kuanzishwa kwa asasi.Miongoni mwa shughuli ambazo asasi inafanya ni; – UTEKELEZAJI WA MIRADI YA HIFADHI YA MAZINGIRA KATIKA MILIMA YA ULUGURU.DAKEDEO Kwa... Read more
September 1, 2020
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
Mradi wa Upashanaji Habari na Jamii Juu ya Majenzi ya UMMA - Community Infrastrucure Information Sharing mradi uliofadhiliwa na CoST - Taznaznia (Infrastructure Information Sharing- kilosa Disrict. Read more
March 10, 2020
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
MIONGONI MWA TARATIBU ZA MSINGI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SERIKALI NI PAMOJA NA UWEKAJI WA KIBAO CHA MAELEZO (SIGN BOARD)ILI KUWA NA TAARIFA ZILIZO WAZI HII NI KWA MUJIBU WA TARATIBU ZA MAJENZI ZINAVZOTAKIWA KUTEKELEZWA NA WAKANDARASI WOTE Read more
April 21, 2019
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION.Inakaribisha wabia wa maendeleo kwa jamii katika kufanya nao kazi ili kufikia lengo la kuanzishwa kwa asasi.Miongoni mwa shughuli ambazo asasi inafanya ni; – UTEKELEZAJI WA MIRADI YA HIFADHI YA MAZINGIRA KATIKA MILIMA YA ULUGURU.DAKEDEO Kwa... Read more
November 28, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
KWA WADAU WA MAENDELEO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION INAKARIBISHA WADAU WA MAENDELEO WALIO NA UJUZI KATIKA FANI ZA MAZINGIRA, AFYA, TAASISI ZA FEDHA, MICHEZO,UJASILIAMALI, UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO,ELIMU UJUZI NA UJASILIAMALI KUFANYA KAZI NA ASASI KATIKA UTARATIBU WA KUJITOLEA KWA MALENGO YA... Read more
February 20, 2018
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
DAKEDEO KATIKA MAFUNZO YA UFURUTU ADA- MOROGORO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION Inashiriki katika mafunzo endelevu ya Mradi wa Kuzuia Ufurutu Ada (Violent Exitremism) ambayo yanaendeshwa kwa pamoja na shirika la GREEN LIGHT PROJECT. – Katika mafunzo hayo ambayo yalianza mwezi June 2017 mjini Tanga na... Read more
December 2, 2017
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
kuona kuwa jamii ya kitanzania iaondokana na umasikini na inajiletea maendeleo endelevu kwa kufanya kazi kwa malengo na ufanisi.
August 3, 2017
DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION
tunafanya kwa pamoja
July 7, 2016