Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@GIVENALITY @TYVAvijana Tunatarajia kupata picha zenye ujumbe wenu na members wenu wenye kulenga kuboresha elimu ya awali #boreshachekechea

Haki Elimu HakiElimu

THE LARGEST ALBUM IN TANZANIA IS IN MAKING http://t.co/Wer7idym BE A PART OF IT & CHANGE LIVES OF THESE INNOCENT KIDS...

Haki Elimu HakiElimu

THE LARGEST ALBUM IN TANZANIA IS IN MAKING http://t.co/Wer7idym BE A PART OF IT & CHANGE LIVES OF THESE... http://t.co/7Vyc0hpY

Haki Elimu HakiElimu

@MackAbouSalmaJr A, B, C yote ni majibu sahihi ,tutafurahi ubunifu zaidi katika kuwasilisha ujumbe wako angalia hapa http://t.co/Wer7idym

Haki Elimu HakiElimu

Kushiriki katika kampeni ya #boreshachekechea tutumie picha yako ikiwa na mawazo yako kwenda media@hakielimu.org au hakielimumedia@gmail.com

Haki Elimu HakiElimu

Na hivi ndivyo Comrade Lusajo alivyoshikiri katika #boreshachekechea mwangalie katika picha hii na ujumbe wake http://t.co/QwbSupMx

Haki Elimu HakiElimu

Ujumbe wa kwanza kutoka kwa mwalimu kwenda kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi huu hapa http://t.co/RCEp9CMw katika #boreshachekechea

Haki Elimu HakiElimu

@ShukuruKawambwa Je wewe una ujumbe gani kwa wadau wa elimu nchini , tutashukuru kama utawajibu kwa picha kama wanavyofanya watanzania

Haki Elimu HakiElimu

@ShukuruKawambwa <<Yenye lengo la kuboresha elimu ya chekechea nchini Tanzania, Ujumbe wako http://t.co/RCEp9CMw kutoka kwa watanzania

Haki Elimu HakiElimu

@ShukuruKawambwa Mheshimiwa tunafuraha ya kukuona tena katika kilingi hiki, shukrani kwa ushirikiano uliotupa, ungana nasi katika kampeni>