
Mtihani wa darasa la saba wavuja, Walimu wanne wa shule ya Msingi Hamkoko Wilaya Ukerewe Mkoani Mwanza... http://t.co/Ge54Njbb

Mwanafunzi ajifungua akifanya mtihani wa hisabati #neshino mtoto apewa jina la Optical Mark Reader walimu na wazazi haakujua ana mimba

Yaliyojiri #neshino huko Muleba mwanafunzi ajifungua akifanya mtihani wazazi na walimu hawakujua kama ana mimba( source wapo radio)

Wazalendo wote na wadau wa elimu nchini tukielekea ukingoni mwa #neshino tuambiane yaliyojiri siku ya leo huko mashuleni,

Yapata miezi 4 na zaidi, HakiElimu tumejaribu kutafuta suluhisho la wizi katika Mtihani wa Taifa wa Darasa la... http://t.co/QEbDKM75

Tunawashukuru WATZ wote ulimwenguni kwa kutuunga mkono kutafuta suluhu la kukomesha wizi katika #neshino , Je tumefanikiwa? uwazi & ukweli

Takribani miezi 4 sasa HakiElimu imejikita katika kuhakikisha wizi #neshino unatafutiwa suluhisho, Je tumefanikiwa na mko tayari kwa jipya

Baada ya lile la jana la Mratibu Elimu Kata kupotea shule akielekea kwenye #neshino lipi lililoshika chati leo la kututia moyo au uborongaji

Wazazi tuambieni watoto wenu waliofanya mtihani wa #neshino jana wamewapa mrejesho upi? Walimu na wasimamizi pia tupeni tathimini yenu

@piusmicky @lifeofmshaba @JohnKomakoma @Tanganyikan HakiElimu bado inatafakari na kuliangalia kwa mapana kabla ya kutoa ushauri na uchambuzi