Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@MwananchiNews Kesho saa 4 asubuhi kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko juu #MgomoWalimu

Haki Elimu HakiElimu

Kesho saa 4 asubuhi kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko juu #MgomoWalimu @RadioOneStereo

Haki Elimu HakiElimu

Kesho saa 4 asubuhi kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko juu #MgomoWalimu @ITVTANZANIA @cloudsfm @bbcswahili @subinukta

Haki Elimu HakiElimu

Kesho saa 4 asubuhi tutakutana na waandishi wa Habari na kutoa tamko juu ya Mgomo wa Walimu unaoendelea nchini

Haki Elimu HakiElimu

Hali ya mgomo ikoje siku ya leo ? Wadau wa Elimu

Haki Elimu HakiElimu

RT @abrahamlazaro: Elfu moja tu inaweza ikabadilisha TZ, elimu pekee ndiyo ukombozi , tuwasomeshe watoto wetu vema ili tubadili taifa la...

Haki Elimu HakiElimu

RT @abrahamlazaro: Tunachangia harusi tunachangia TBL, tunachangia Voda,Tigo,Airtel,Zantel, elimu yetu je, sasa ni wakati wa...

Haki Elimu HakiElimu

Mgomo wa Walimu watikisa nchi nzima :Wanafunzi waandamana kudai haki yao ya kupata elimu, baadhi ya wanafunzi... http://t.co/2D0DX93V

Haki Elimu HakiElimu

Wanafunzi wa jana sio wa leo ,watanzania wa juzi siyo wa leo ! Wahusika mnatakiwa mjibu swali hili http://t.co/OJyosxw9 #okoaelimu