Injira
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Matukio ya Mgomo wa Walimu Nchini katika Video

Pichani ni wanafunzi wa shule ya Msingi Gongoni mkoani Tabora wakiwa darasani bila mwalimu wakicheza na kurukaruka walipotembelewa asubuhi leo na mwanahabari wa HakiElimu
Views: 0
0 ratings
Time: 00:15 More in Nonprofits & Activism
Haki Elimu HakiElimu

@lilianruga Hapana mdau kunani tunduma/mbozi tujuze pia tembelea facebook page yetu kuona hali ilivyo sehemu nyinginezo nchini ! tujuze

Haki Elimu HakiElimu

Walimu na wadau wa elimu kona zote nchini tupeni taarifa ya mgomo wa walimu katika maeneo mliyopo ! Mfano hapa... http://t.co/gUhb86TG

Haki Elimu HakiElimu

Mgomo wa walimu uko pale pale,“Walimu wataanza mgomo rasmi Jumatatu (kesho), kwa kubaki nyumbani bila ya kwenda... http://t.co/iTPkv7aT

Haki Elimu HakiElimu

Breaking News: Serikali yatoa tamko dhidi ya jaribio la walimu la kutaka kugoma, yasema mgomo huo sio halali... http://t.co/XFLulHim

Haki Elimu HakiElimu

@godnyam Tupo pamoja kaka pia shukrani za kipekee kwa rafiki wetu muhimu @RNMsuya bila kumsahau @justpendo mjadala ulikuwa poa #OkoaElimu

Haki Elimu HakiElimu

Kama walishindwa kuwasikililiza madaktari wanaoshikilia uhai wa wananchi je watawasikiliza walimu wanaojenga taifa la kesho? #OkoaElimu

Haki Elimu HakiElimu

@godnyam Wazo lako linaweza likawa ni moja ya suluhisho ya migogoro inayoendelea katika sekta mbalimbali za umma nchini "Mikataba mifupi"