Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Na hizi ndizo picha zinazoonyesha changamoto za elimu nchini Tanzania http://t.co/HhiH6Szc Watanzania tuungane katika #OkoaElimu
Comments (0)

Mgomo wa walimu watikisa Uganda. Baada ya serikali kushindwa kuwalipa mishahara yao sasa wameamua rasmi kugoma... http://t.co/3CI9FKji

I uploaded a @YouTube video http://t.co/9B01SeD1 HakiElimu na Ujumbe Kwa Serikali Kuhusu Shule za Sekondari z
HakiElimu na Ujumbe Kwa Serikali Kuhusu Shule za Sekondari za Kata
Tangazo hili linabeba ujumbe unaohusu jitihada za serikali za kujenga shule nyingi za sekondari karibia kila kata nchini wakati kiwango cha elimu kinachotolewa katika shile hizo ni cha chini sana |
From:
hakielimutz
Views:
19
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 00:58 | More in Nonprofits & Activism |

Habari njema. Serikali yasitisha ujenzi wa sekondari za kata, yakiri inatoa elimu duni isiyokidhi viwango,yasema... http://t.co/y5UdFYme

RT @uyannacb: Serikali yasitisha ujenzi wa Serikali za Kata, yakiri zatoa #ElimuDuni. @ChangeTanzania @HakiElimu