Serikali yashindwa kufikia muafaka na walimu nchini Tanzania , Walimu watakiwa kupiga kura ya kugoma au la ?... http://t.co/RXpNg6DC
we are the returning follower @kazimotobills it was a mistake you were in our list,keep up the good work ! Gov transformation in new media
@GIVENALITY @TYVATanzania @Tanganyikan @EliguardD @jjmnyika @subinukta @Hakingowi Shukrani na hongereni
Katika mwaka wa fedha 2012/2013 Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo ilitumia shilingi bilioni 30... http://t.co/DiEzGxfU
Serikali imetenga shilingi bilioni 56.3katika mwaka wa fedha 2012/2013 kwa ajili ya kukamilisha miundo muhimu ya... http://t.co/ynxiY7Qx
Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa atajwa kuwa mtekelezaji wa mkakati wa utekaji na utesaji wa Dr. Steven... http://t.co/cxPOSZQo
Angalia @ITVTANZANIA sasa uangalie kipindi cha Tafakari, sehemu tu ya kipindi hicho ni hii hapa http://t.co/PlyLBh3b
I liked a @YouTube video http://t.co/0gF1APZ6 3. Lunchtime-Haki Elimu, "Je, Hii Ni Sawa?" campaign
@lilianruga @RadioOneStereo Tusubiri utekelezaji manake suala la kutenga kiasi fulani cha hela limekuwa likizungumziwa wakati hakuna lolote