Envaya

HakiElimu

Habari

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Haki Elimu HakiElimu

Album yenye picha zaidi ya 1000 zenye lengo la kuleta ukombozi kwa watoto chekechea yaendelea kupokea picha , Je unamtambua number 33

Haki Elimu HakiElimu

I posted 2 photos on Facebook in the album "BORESHA CHEKECHEA" http://t.co/1x07XAlb

Haki Elimu HakiElimu

Habari za jumamosi , leo baadhi yetu wangalau tuna muda wa mapumziko tuomba mtumie muda wenu kidogo katika hili... http://t.co/9XRLoq5q

Haki Elimu HakiElimu

@wa_rich shukrani inaonyesha una upendo na nchi yako karibu katika kampeni yetu #boreshachekechea tutumie picha yako ukiwa na ujumbe

Haki Elimu HakiElimu

@MariaSTsehai @policy_F @Semkae tunasubiria picha yako na ujumbe wako dada yetu safari hii hatukutani salenda utapiga hata pale compass

Haki Elimu HakiElimu

Good Night Twitfam , Tunashukuru kwa mchango wenu mliotupa siku ya leo katika kampeni ya #boreshachekechea

Haki Elimu HakiElimu

I posted 6 photos on Facebook in the album "MAZINGIRA YA "CHEKECHEA" NCHINI TANZANIA" http://t.co/0GrfGK6L

Haki Elimu HakiElimu

@tonytogolani au Tablet au simu au Kibao chochote , tunataka ujumbe uwe wa kudumu usiiishie tu hapa twitter

Haki Elimu HakiElimu

@tonytogolani Ebwana moja kati ya ujumbe mzuri tunaotegemea kuusambaza nchini, je mtoto huyu anaweza akaushika ujumbe huo katika karatasi

Haki Elimu HakiElimu

@tonytogolani Karibu uungane na watanzania hawa http://t.co/Wer7idym walioamua kuokoa elimu ya watoto hawa http://t.co/qXCFmw97