
Na pesa nyingi zinaenda kwenye majengo na vitu vinavyonunulika kwa sababu huko ndiko kuna 10 percent kwa sababu ukimuongeza mwalimu mshahara

#bajetielimu ni muhimu kuangalia katika bajeti hii tumeelekeza kiasi gani kumuongezea mwalimu ujuzi

Mwaka huu tunataka waziri wa elimu atuambie ni kiasi gani kinaenda katika kuboresha au zinagusa walimu moja kwa moja #bajetielimu

Jamii yetu wa watanzania inapenda sifa za kitaaluma mfano anataka aitwe dr fulani fulani #bajetielimu

Tafiti zinaonyesha kuwa taifa letu ni la jamii isiyopenda kujifunza jiulize toka mwaka uanze umesoma vitabu vingapi #bajetiyaelimu

Hata uwe na majengo kama ya NSSF katika shule zote nchini kama walimu hawana utayari basi hakuna elimu yoyote inayotolewa #bajetielimu

Unapochezea mfumo wa elimu unaliandalia taifa kifo na sisi tunaliandalia taifa kifo- Dr Kitila Mkumbo

Kigezo cha tatu katika kupima ubora wa elimu ni mitihani ya taifa na matokeo ya mitihani ya taifa- Dr.Kitila Mkumbo #bajetielimu