Injira
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

Na hizi ndizo picha zinazoonyesha changamoto za elimu nchini Tanzania http://t.co/HhiH6Szc Watanzania tuungane katika #OkoaElimu

Haki Elimu HakiElimu

Mgomo wa walimu watikisa Uganda. Baada ya serikali kushindwa kuwalipa mishahara yao sasa wameamua rasmi kugoma... http://t.co/3CI9FKji

Haki Elimu HakiElimu

HakiElimu na Ujumbe Kwa Serikali Kuhusu Shule za Sekondari za Kata http://t.co/oV0szhjd

Haki Elimu HakiElimu

I uploaded a @YouTube video http://t.co/9B01SeD1 HakiElimu na Ujumbe Kwa Serikali Kuhusu Shule za Sekondari z

HakiElimu na Ujumbe Kwa Serikali Kuhusu Shule za Sekondari za Kata

Tangazo hili linabeba ujumbe unaohusu jitihada za serikali za kujenga shule nyingi za sekondari karibia kila kata nchini wakati kiwango cha elimu kinachotolewa katika shile hizo ni cha chini sana
Views: 19
0 ratings
Time: 00:58 More in Nonprofits & Activism
Haki Elimu HakiElimu

Habari njema. Serikali yasitisha ujenzi wa sekondari za kata, yakiri inatoa elimu duni isiyokidhi viwango,yasema... http://t.co/y5UdFYme

Haki Elimu HakiElimu

RT @uyannacb: Serikali yasitisha ujenzi wa Serikali za Kata, yakiri zatoa #ElimuDuni. @ChangeTanzania @HakiElimu