Envaya

1.Kuunganisha nguvu za jumuiya za kidini Zanzibar katika kukuza maadili mema.

2.Kusaidia kupatikana misaada kwa watu wenye matatizo ya kijamii.

3. Kutatua migogora ya kijamii i;e familia, miskiti nk.

Mabadiliko Mapya
JUMUIYA YA MAIMAMU ZANZIBAR imeumba ukurasa wa Timu.
Amiri: Sh, Farid Hadi Ahmed – N/Amir: (Unguja) Sh Ali Abdalla Shamte – N/Amir: (Pemba) Sh, Ghazali Abdalla Ali – Katibu Mtendaji: Muhiddin Zubeir Muhiddn – N/Katibu (Unguja): Sh, Khamis Yussuf Khamis – N/Katibu (Pemba): Maalim Yussuf Aballa Ramadhan – Mtunza Hazina: ... Soma zaidi
20 Aprili, 2012
JUMUIYA YA MAIMAMU ZANZIBAR imejiunga na Envaya.
27 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Vuga, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu