Envaya

Lengo la shirika ni Kupambana na Maralia,  Ukimwi, Umasikini, na kutoa elimua ya Mzingira kwa jamii katika Mkoa wa Mtwara.

Mabadiliko Mapya
KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA MARALIA NA UKIMWI imeongeza Habari.
Kazi zetu ambazo tumezifznya katika miaka mitatu iliyopita ni kutoa elimu juu ya kuthibiti maambukizi mapya ya virusi vya maralia na ukimwi mazingi na umasikini pamoja na hayo yote changa moto tunazo kumbananazo ni kukosa fedha za kujiendesha pamja na vifaa kwa dhima nzima ya shirika letu.Tumeandika madodoso mbalimbali... Soma zaidi
18 Mei, 2011
KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA MARALIA NA UKIMWI imejiunga na Envaya.
18 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Mtwara Manispaa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu