Log in
KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA MARALIA NA UKIMWI

KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA MARALIA NA UKIMWI

Mtwara Manispaa, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kazi zetu ambazo tumezifznya katika miaka mitatu iliyopita ni kutoa elimu juu ya kuthibiti maambukizi mapya ya virusi vya maralia na ukimwi mazingi na umasikini pamoja na hayo yote changa moto tunazo kumbananazo ni kukosa fedha za kujiendesha pamja na vifaa kwa dhima nzima ya shirika letu.Tumeandika madodoso mbalimbali katika mashirika tofauti ya kifedha  lakini hadi leo hatuja pata mfadhili wa kutuunga mkono jitihada zetu hizo.Kazi nyingine tunashindwa kuwafikia walengwa vijijini kwa sababu hizo za ukosefu wa fedha.Lengo letu kuu hadi kufikia 2015 tatizo la maralia na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi na Umasikini viwe vimepungua kama si kwisha kabisa.

May 18, 2011

Comments (1)

Ilikufikia malengo yetu serikali na mashirika ya fedha ya weze kuangalia kazi muhimu na kubwa ya kuisaidia jamii kuweza kuishi katika maumaini.pia si masirika na serikali ni pamoja na watu wenye uwezo wa kitu chochote kuhusiana na malengo yetu.
May 18, 2011

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.