Kujengea uwezo vikundi vya watu masikini kufikia kuwa huru vikundi vilivyohamasika na kuweza kushiriki kikamilifu katika kutoa mchango wa uundaji na utekelezaji wa sera katika shughuli zinazoboresha maisha yao kisiasa, kijamii, katika ngazi zote.
Mabadiliko Mapya

KIKUNDI MWAVULI MASASI imeongeza Habari.
kutokana na kilimo cha choroko amepata mafanikio amenunua bati 25.
huko wilayani Masasi, kijiji cha Mnanje 'A'
23 Mei, 2011
KIKUNDI MWAVULI MASASI imeumba ukurasa wa Miradi.
mradi wa kilimo cha maksai
uzalishaji wa mbegu za muhogo kinzani dhidi ya batoto na michirizi ya kikahawia
uongezaji thamani zao la muhogo kwa kusindika
hifadhi ya mazingira
uzalishaji wa mbegu za mafuta
23 Mei, 2011
KIKUNDI MWAVULI MASASI imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
MASASI, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu