Envaya

large.jpg

niwakati nikiingia na mgeni pamoja na mzee wa mira ambaye ameteuliwa kusiliza mafunzo yaliyokuwa yanaendeshwa kwa wanawake wa jamii ya wafugaji

large.jpg

ni duka la wana kikundi cha jamii ya wanawake jamii ya wafugaji

large.jpg

baadhi ya wanakikundi cha ujasilia mali wa jamii ya wafugaji wakitoa maelezo yao kwa mgeni aliye watenbelea