Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
-
Kutoa elimu ya mtazamo chanya kwa vijana wa vijijini na mijini, ili ujikwamua kimaisha kwa kutumia fursa na rasilimali zinazowazunguka.
-
Kukuza, kuendeleza utamaduni wa Mtanzania
-
Kutoa misaada ya hali na mali kwa makundi yasiyojiweza.
-
Kutoa fursa ya vijana kukutana na kubadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi mbalimbali kupitia midahalo, semina, makongamano kupitia sanaa ili kukabiliana na changamoto za Afrika Mashariki na Dunia kwa ujumla
Mabadiliko Mapya

MAISHA PA1 imeongeza Habari 3.
Sehemu ya harakati za taasisi ya MAISHA PA1 katika kutengeneza wimbo wa elimu ya afya ya uzazi na mapango. Soma zaidi
29 Januari, 2015
MAISHA PA1 imeumba ukurasa wa Historia.
MAISHA PA1 ni taasisi iliyoanzishwa na vijana wenye taaluma mbalimbali wakiwemow walimu,wakufunzi wa ujasiriamali, wanahabari, wataalamu wa maswala ya jamii,afya na wasanii. – LENGO – kutoa elimu ya mtazamo chanya kwa jamii kuhusiana maswala mtambuka kama vile afya ya mama na mtoto, ukimwi, usalama... Soma zaidi
24 Septemba, 2014
MAISHA PA1 imejiunga na Envaya.
10 Septemba, 2014
Sekta
Sehemu
Kahama,Shinyanga, Shinyanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu