Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Wadau wakiwa wanapata chai muda wa semina

large.jpg

Mwewnyekiti Wa Mtaa wa Mabibo Jitegemee akiwa anafungua Semina ya kwanza na tunaendea na semena

large.jpg

NVRF ikiwa imeanza Semina Juu ya Haki Ya Mtoto ya Kuishi iliyofadhiliwa na The Foundation For Civil Society (FCS)

large.jpg

NVRF ikiwa imeanza Semina Juu ya Haki Ya Mtoto ya Kuishi iliyofadhiliwa na The Foundation For Civil Society (FCS)

large.jpg

NVRF ikiwa imeanza Semina Juu ya Haki Ya Mtoto ya Kuishi iliyofadhiliwa na The Foundation For Civil Society (FCS)

large.jpg

KIJANA HUYU ANAHITAJI KUSAIDIWA. BAADA YA KULELEWA NA TAASISI YA NVRF KWA MUDA MREFU BAADA YA KUONDOKEWA NA WAZAZI WOTE WAWILI NA KULELEWA NA MMOJA WA VIONGOZI WA NVRF KIJANA HUYU SASA AMESHAFANYA NYIMBO MBILI NA ANAZI NYIMBO NYINGI TAYARI KWA KUFANYA SHOOTING ANACHOKOSA NI TSHs 3,000,000 (milioni tatu) mchanganuo ni kama ifuatavyo milioni mbili (2,000,000) kwa ajili ya shooting milioni moja (milioni moja) kwa ajili ya kurecodi nyimbo ambazo zitatumilka katika kufanyia record TUMSAIDIE HUYU KIJANA KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA MHAZINI WA N.V.R.F KWA NAMBA 0713 304409 AU 0767 304409. MUNGU AWABARIKI TUNAPOAMUA KUMSAIDIA KIJANA HUYU ALIYEZALIWA MWAKA 1989 KATIKA WILAYA YA KINONDONI

large.jpg

How are you our friends we are planning to take our Kids to a trip where they can enjoy and see how nice place it is and to any kid will cost 20,000/= to any one who need to help us please help us so that we can take them we have 120 Kids God bless you when your planning to help N.V.R.F Kids

large.jpg

Binti wa Manzese akifanya kazi za nyumbani NVRF walifika kwao kuangalia Mazingira ya kusaidia aanze Shule ya awli N.V.R.F