Kutetea na kushawishi uwepo wa mipango kuhusu watu wanaozeeka, wazee, na waliozeeka, ili kupata huduma kutoka serikalini na jamii inayowazunguka.Wazee kushiriki katika miradi ya kujiongezea kipato.Wazee kushirikishwa katika vyombo vya kutoa maamuzi. Kupinga uonevu wowote unaotokana na mila, desturi na imani zinazoweza kuvunja haki za binadamu.
Mabadiliko Mapya
SAIDIA WAZEE TANZANIA ina ujumbe mpya katika mada MIRADI KWA WAZEE.
fikiri mvugaro kutoka mwela theatre group: Hasante sana kwa mada yako na kutoa fursa katika kuchangia mada hii ya Wazee ni kweli unavyosema sisi vijana wa sasa ni tofauti kabisa na vijana wazamani ambao sasa ni wazee kumekuwa na vitendo vya unyanyasaji,ubaguzi kwa wazee utafikiri hawa wazee hakuwa vijana au sisi vijana hatutazeeka .... Soma zaidi
12 Julai, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA imeongeza kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
28 Juni, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA imeongeza envayaorg kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
Tumejiunga na shirika la envayaorg. Shirika hili limetuwezesha kutupatia ukurasa kwenye tovuti yake. Hivyo, limetuwezesha kutoa maelezo ya shughuli zetu kwa umma.
27 Juni, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA imeongeza Tanzania Older People's Platform (TOP) kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
SAWATA MARA ni mwanachama wa shiriki la MTANDAO WA WAZEE TANZANIA (TANZANIA OLDER PEOPLE’S PLATFORM – TOP) ambalo wanachama wake ni mashirika 18, yanayoshughulika, na masuala ya wazee. Huwa tunashirikiana kubadilishina mawazo ya kiutendaji
27 Juni, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA imehariri ukurasa wa Miradi.
MRADI – LIMA ALIZETI UEPUKE UMASIKINI
1.1 Utangulizi – Shirika la Saidia Wazee Tanzania, (SAWATA MARA) kwa kushirikiana na shirika la kimataifa “HELPAGE... Soma zaidi
27 Juni, 2012

SAIDIA WAZEE TANZANIA imeongeza Habari 4.
Wazee baada ya kupata semina juu ya Sera ya Taifa ya Wazee, Ujasiriamari na Sheria Na.1 ya mwaka 2001, ya mfuko wa bima ya Afya ya jamii iliyotolewa katika kijiji cha Nyambono Kata ya Nyambono, kwa ufadhili wa "The Foundation For Civil Society" Dar-es-salaam, Tanzania. Semina hii ilitolewa mwezi Agosti,... Soma zaidi
13 Juni, 2012
Sekta
Sehemu
Mara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu