Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Shule ya awali (chekechea) ya watoto waishio katika mazingira hatarishi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya darasa . Watoto hawa wanasomea katika darasa lisilokidhi na baadhi hawakupata sare ya shule kutokana na ufinyu wa bajeti. Watoto huja na kurudi nyumbani kila siku
Ibitekerezo (0)
HAWA NI BAADHI YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WALIOFADHILIWA SARE ZA SHULE NA ADA KWA MWAKA 2008-2010 MSAADA HUO ULITOKA KATIKA MFUKO WA SUPREME
HAWA NI BAADHI YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WALIOFADHILIWA VYETI VYA KUZALIWA MSAADA HUO ULITOLEWA NA UNICEF WAKISHIRIKIANA NA RITA KUPITIA SUPREME MWAKA 2008