Mkurugensi wa Asasi ya SWOLO ahatima ya kifafanua juu ya maisha ya wasee katika Jamii na Taifa kwa ujumla wake
Tarehe 04.02.2015 Asasi ya SWOLO itakuwa katika Wilaya ya Busokelo ikihamasisha utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Wazee. Sera ambayo ina umuhimu sana kwa Wazee wa Taifa hili.