Baadhi ya viongozi wa Asasi ya SWOLO wakiwa kwenye mkutano na wanakijiji wa kijiji cha Fubu wilayani Kyela katika shughuli ya kuunda mabaraza ya ushauri ya wazee kijijini hapo.
Mkurugenzi wa Asasi ya SWOLO akiongea na wazee wa kata ya Talatala wilayani Kyela kuhusu huduma za matibabu zinazotolewa katika hospitali za serikali bila malipo kwa wazee ikiwa na pamoja na taratibu zinazotumika kutoa huduma hizo.
Mkurugenzi mtendaji wa Asasi SWOLO Bw.Abel Ambakisye akiongea na wazee wa kata ya Ikama wilayani Kyela kuhusu umuhimu wa mabaraza ya wazee.
Mkurugenzi wa Asasi ya SWOLO akiongea na wazee wa kata ya Talatala wilayani Kyela kuhusu huduma zitolewazo na Asasi hiyo ikiwa ni pamoja na ushawishi na utetezi wao ili waweze kuishi maisha ya amani na furaha.