Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/auvitatz/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Ndugu Simba Mramba . – Mwanzilishi wa Asasi ya Ukombozi wa Vijana Tanzania (AUVITA) na ndiye mwenyekiti wa sasasi hiyo. Anawakaribisha vijana katika ukombozi mpya. Sikuzote huamini kuwa hamuna lisilowezekana Duniani na maisha ya mtu hupangwa na mtu mwenyewe, kwa ushirikiano na vijana kwa kuwapatia elimu mbalimbali maisha ya vijana yatabadilika na kuondokana na tatizo la ukosefu wa ajira. – Anasema kuwa. – Ni dhahili...
(Bila tafsiri)
Hariri
TUNAIENZIJE SIKU YA MAZINGIRA? (image) Umepanda mti leo? – Leo ni siku ya mazingira duniani ambayo inatukumbusha kuwa uhai wetu inalindwa na mazingira yetu, hivyo tukiwa kama wadau katika sekta ya mazingira tunawakalibisha wadua na wahifadhi mazingira ili kuu tetea uhai wetu kwani kuishi kwetu kunategemea mazingira yetu. – Nikweli kabisa kuwa hatunabudi kuyalinda na kuyahifadhi mazingira yetu na...
(Bila tafsiri)
Hariri
MAANDIKO YA MWALIMU J. K. NYERER. – Kwa vijana kitabu hiki kinatufaa sana katika kutujengea misingi bora ya uongozi na maadali memea naomba tukisome. – 1: Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (1994) - Mwl Nyerere – Download: http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...JK_Nyerere.pdf
– 2:...
(Bila tafsiri)
Hariri
UGONJWA WA MAFUA YA KUKU Ugonjwa huu umekuwa ni hatari sna hasa kutokana na usumbufu wake wa kimatibabu pale unapoingi katika shamba la mkulima mfugaji wa kuku, hapa nakuletea maelezo mafupi kuhusu ugojwa huu. Ni ugonjwa unaoitwa infectious coryza huenezwa na bacteria. anaeitwa (hemophilus paragallinarum). Ugonjwa huu hushambulia kuku aina...
(Bila tafsiri)
Hariri
TANZANIA NA UZALENDO WETU TUMEKOSEA WAPI? – Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda nchi yake, rasilimali zilizomo na watu wake kwa moyo wa dhati kwa kuilinda, kuithamini wakati wote na mahali popote. – Uzalendo katika nchi ndio chanzo cha maendeleo na usawa kwa watu wote nchini. Uzalendo unaleta haki, uzalendo unajenga misingi ya kujaliana, uzalendo ndio chachu ya matumizi ya rasilimali za nchi kwa usawa,...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Tumeamua kujikita katika shughuli za kilimo hususani kilimo cha bustani na ufugaji wa kuku. Ni dhamira yetu kuhakikisha kuwa jamii inapata lishe bora na salama kwa afya, ni fahari kwetu kuona kuwa vijana wanaelimika na kuchagua mfumo wa maisha kiuchimi kupitia rasilimali zinazo wazunguka kama nyezo ya kuwainua kiuchumi, jamii inahitaji nyama ya kuku na mazao mengine ya kuku kama Mayai na mbolea ya kinyesi cha kuku. Mazao haya ya kuku ni frusa kwa...
(Bila tafsiri)
Hariri