Base (Swahili) |
English |

Hii ni shule ya Sekondari Mruwia,
Kwa sasa ina kidato cha i-iv shule hii ni ya serikali lakini ina matatizo mengi hasa madawati kwa ajili ya kukalia wanafunzi, Vitabu hakuna kabisa, pia Walimu ni wachache sana. Tungefurahi kama tunaweza kupata walimu wa kujitolea kutoka nje kupitia, exchanging programs.
|

,, This is Mruwia Secondary School,,, now has the form i-iv school is a government but has many problems, especially desks for pupils to sit, no books at all, teachers are also very few. Tungefurahi if we can get volunteer teachers from abroad through, exchanging programs.
|