Base (Swahili) | English |
---|---|
Interview 8 1.Unaishi eneo gani?! Magulumbasi 'B' 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi nna vitu vyako?! Vitu vyangu vyote vya ndani vimepotea. 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!
5.Vyanzo vya ubora wa maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko?!
6.Kama una kazi,inakuchukua muda gani kutoka nyumbani mpaka eneo lako la kazi?! Sina kazi ni mama wa nyumbani. |
(Not translated) |