Lengo kuu la shirika langu ni kusaidia na kuelimisha vijana ambao wameathirika kwa ugonjwa wa ukimwi. Tunawasaidia kwa kutoa elimu kwa njia shirikishi, kwa sanaa za mikono na sanaa za maonyesho. Pia tunatoa elimu ya kujikinga na maambukizi dhidi ya ukimwi.Lake zone art group pia tunatoa elimu ya upambaji yani ( art decoration) kwa vijana tunao wahudumia , kwa ajili ya kupambana na umasikini ili vijana wasiokuwa ajira wapate kujiajiri wenyewe. Pia katika mradi wetu uliomalizika hivi... | (Bila tafsiri) | Hariri |