About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/nzogwi
: English
Base
English
Lengo kuu la shirika langu ni kusaidia na kuelimisha vijana ambao wameathirika kwa ugonjwa wa ukimwi. Tunawasaidia kwa kutoa elimu kwa njia shirikishi, kwa sanaa za mikono na sanaa za maonyesho. Pia tunatoa elimu ya kujikinga na maambukizi dhidi ya ukimwi.Lake zone art group pia tunatoa elimu ya upambaji yani ( art decoration) kwa vijana tunao wahudumia , kwa ajili ya kupambana na umasikini ili vijana wasiokuwa ajira wapate kujiajiri wenyewe. Pia katika mradi wetu uliomalizika hivi...
The main purpose of my organization is helping to educate young people who have been affected by AIDS. We help by providing education through interactive, hands and the art of theater. We also provide education on prevention against HIV infection zone mwi.Lake art group, we also offer education actively modification (art decoration) to the youth we serve, to fight poverty to youth employment might not be self-employed. Also in our project ended recently Lake zone, we can help art group of...
Edit