Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/mrumate/post/7323
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
(image) – Hii ni shule ya Sekondari Mruwia, Kwa sasa ina kidato cha i-iv shule hii ni ya serikali lakini ina matatizo mengi hasa madawati kwa ajili ya kukalia wanafunzi, Vitabu hakuna kabisa, pia Walimu ni wachache sana. Tungefurahi kama tunaweza kupata walimu wa kujitolea kutoka nje kupitia, exchanging programs.
(Not translated)
Hindura