Envaya

WILAYA YA BAGAMOYO

Bagamoyo, Tanzania

Kuunganisha mashirika yasiokuwa ya Kiserikali yaliomo wilayani Bagamoyo ili kuwapatia maendeleo, umoja, na fursa ya kutangaza maendeleo yao katika ujenzi wa wilaya yao ya Bagamoyo.

Kutangaza na kufahamisha jamii kuhusu maendeleo, changamoto na vivutio vya wilaya ya bagamoyo.

Mabadiliko Mapya
WILAYA YA BAGAMOYO imejiunga na Envaya.
30 Agosti, 2012
Sekta
Nyingine (sekta zote zinazo husu mashirika yasiokuwa ya kiserikali wilayani bagamoyo)
Sehemu
Bagamoyo, Pwani, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu