Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Asante kwa kusaidia jamii ya Tanzania hasa watoto yatina na wanaoishi katika mazingira hatarishi.
Utamaduni huu unasaidia kuimarisha afya za wazee wetu pia ni burudani na kivutio kikubwa cha utalii.
ELIMISHA: Inaendelea kutambua utamaduni wa asili na kupromoti kama moja ya vivutio vya utalii.
Mtendaji mkuu wa shirika la ELIMISHA Bw. Festo Sikagonamo akielimisha baadhi ya wananchi wa kijiji cha Lukasi wilayani Rungwe, kuhusu uhifadhi wa mazingira na ujasiriamali.
Hizi ni baadhi ya kazi za shirika la ELIMISHA katika ufikishaji elimu kwa jamii.
Tatizo la maji linachangia kuathiri shughuli za uzalishaji hasa kwa wanawake.