Katika kufikisha huduma za uhakika na ufanisi kwa walengwa ELIMISHA inasshirikisha jamii kuibua na kupanga vipaumbele kupitia mikutano, huu ni mmoja wa mikutano ya ELIMISHA.
Ibitekerezo (0)
Baadhi ya watu wasiojiweza vijijini hulazimika kutumia choo kama hiki.
wazee waliotoa mchango mkubwa kwa Taifa kupitia kilimo kwa sasa wanahitaji msaada
Shirika la ELIMISHA limelenga zaidi maeneo ya vijiji na hawa ni baadhi ya walengwa, mtoto akienda sokoni huku akiwa amebeba mzigo wa miwa kichwani na mtoto mtoto mwenzake mgogoni.