Log in
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@ChidiBeenz @klyinn @diamondplatnumz @ommydimpoz Mnawaambia nini mashabiki wenu kuhusina na Mtihani wa Taifa utakaofanyika jumatano #neshino

Haki Elimu HakiElimu

Wadanganyifu mitihani darasa la Saba kuchukuliwa hatua kali za kisheria; Walimu au Wasimamizi kufungwa gerezani... http://t.co/wjAusBWa

Haki Elimu HakiElimu

Wadanganyifu mitihani darasa la Saba kufungwa gerezani au kushushwa vyeo- Naibu Waziri wa Elimu, Philipo Mulugo #Neshino

Haki Elimu HakiElimu

Askofu aombea mtihani wa darasa la saba, Awataka wasimamizi waepuke kufedhehesha taifa; Asema ni aibu kufutiwa... http://t.co/RgFmXYCU

Haki Elimu HakiElimu

Wiki hii darasa la saba wanafanya mtihani wa Taifa, tushirikishe mawazo yako juu ya tukio hili kubwa la kitaifa, #neshino

Haki Elimu HakiElimu

Elimi bora ndiyo msingi wa maendelo ya Taifa letu tunawatakia darasa la saba mtihani mwema.Ungana nasi kutuma ujumbe wako kuhusu #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@MichaelDalali @kamwaga @Chahali Tuma ujumbe kuhusu mtihani wa kitaifa wa darasa la saba utakaofanyika wiki ijayo #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@hkigwangalla @halimamdee @jjmnyika @pkallaghe Tuma ujumbe wako kuhusu mtihani wa taifa wa darasa la saba utakaofanyika wiki ijayo #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@LazaroNyalandu @moodewji @DocFaustine Tuma ujumbe wako kuhusiana na mtihani wa kitaifa wa darasa la saba utakaofanyika wiki ijayo #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@MwanaFA @YerickoNyerere. @mujemaso. Tuma ujumbe wako kuhusiana na mtihani wa taifa wa darasa la saba utakaofanyika wiki hii #neshino