Envaya

HakiElimu

Amakuru

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@Makambas wanafunzi wengi mashuleni wangependa kufikia ulipofika una ujumbe upi kwao kabla hawafanya mtihani wa #neshino siku ya jumatano

Haki Elimu HakiElimu

Kwa maslahi ya Taifa wazalendo waungana na kutuma ujumbe kwa taifa kuhusu mtihani wa darasa la saba fuatilia #neshino nawe utume ujumbe wako

Haki Elimu HakiElimu

@jmkikwete Mheshimiwa Raisi tunaomba ujumbe au salamu zako kuhusu mtihani wa taifa utakaofanyika jumatano maarufu kama #neshino

Haki Elimu HakiElimu

Msanii wa kizazi kipya nchini Omy Dimpoz "tunawatakia kila lakheri ktk mitihani yao cha msingi ni kuzingatia kile walichojifunza" #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@FidQ Unawaambia nini mashabiki wako ambao ni wadau wa elimu kuhusu mtihani wa Taifa #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@JosephMbilinyi @Profesa_Jay Ujumbe wenu kwa mashabiki wenu kuhusu mtihani wa Taifa wa darasa la saba utakaofanyika jumatano #neshino

Haki Elimu HakiElimu

Msanii maarufu wa Hip Hop @ChidiBeenz anasema "Maisha Magumu kufaulu elimu lazima" Na wewe unasemaje kuhusiana na mtihani wa #neshino

Haki Elimu HakiElimu

dozens of people followed me and 6 people unfollowed me // automatically checked by http://t.co/SaFvd1t8