Injira
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

Maandalizi ya #Neshino Yakamilika. Serikali imesema maandalizi yote ya mtihani wa darasa la saba ikiwamo matumizi... http://t.co/E4raI8M9

Haki Elimu HakiElimu

Ujumbe wa Mheshimiwa @halimamdee "Walimu wakuu ,wasimamizi ,wazazi na wanafunzi waepuke kuiba au kupeana majibu ktk mitihani" #neshino

Haki Elimu HakiElimu

Ni matarajio yetu kuwa #neshino mwaka huu itakuwa kipimo sahihi na hakutajitokeza tena maajabu kama haya http://t.co/ZeqQqz3F

Haki Elimu HakiElimu

Ni matarajio yetu kuwa matokeo ya darasa la 7 #neshino mwa huu hayatakuwa na tabia kama hizi zinazoonyeshwa hapa http://t.co/ZtfHBOf2

Haki Elimu HakiElimu

Bado masaa machache kabla darasa la 7 hawajafanya mtihani wa taifa tuma maoni salamu ushauri dukuduku litakalochangia #neshino kuwa bora

Haki Elimu HakiElimu

Waheshimiwa wabunge @DocFaustine @hkigwangalla nao washiriki katika kutuma ujumbe kuhusu mtihani wa #neshino wamesema nini fuatilia #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@Makambas aendeleza ndoto yake ya kuhakikisha kuwa watoto wote TZ wanajikwamua katika lindi la umaskini fuatilia #neshino kujua kasema nini

Haki Elimu HakiElimu

@shyrosebhanji Aaendeleza harakati za kuhakikisha elimu inawakomboa watoto walio katika mazingira magumu, fuatilia ujumbe wake hapa #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@hmgeleka kila jambo lina mwanzo wake hilo litakuja tu #neshino ya mwaka huu tunaifanya hivi je wewe umeshiriki vipi katika #neshino

Haki Elimu HakiElimu

@hmgeleka na wadau wa elimu nchini sio wanafunzi pekee hata wewe ni mdau #neshino ni kwa wadau wote wa elimu hivyo toa maoni yako sasa