 |
| Baadhi ya barabara za mji wa NJOMBE zikionekana kuwa na utulivu kwa wapitanjia wake kutokana na mpangilio mzuri uliofanywa wakati huu wa kufanya maboresho ya mji huo ambao umepanda hadhi na kuwa halmashauri ya mji. |
 |
| Katika ile hali ya kuvutia watu kwenye mabanda, wilaya ya Mbozi imekuja na staili ya Ngedere mjini kwa kumleta sijui Tumbili ama ngedere kwenye maonyesho ambapo watu wamekuwa wakimiminika na hasa wanafunzi kuona vimbwanga vyake na bahati nzuri kachangamka huyo! shida moja nikwamba wanapojaa kumshangaa na vibaka wanatumia fulsa hiyo kuwaliza watu! |
 |
| Mafundi wa mtaani wakichimba kisima cha maji kwa zana duni kama inavyoonekana lakini wamekuwa wakichangia kwa kiwango kikubwa upatikanaji wa huduma za maji mijini, mfano kisima kama hicho kinagharimu shilingi milion 1 hii ni pamoja na kuweka Immesible pump! |
 |
| Mkurugenzi mwendeshaji wa Blog hii pamoja na Timu nzima wanawatakieni wakulima wote Nane Nane Njema na yenye mafanikio, huku mkitafakari zaidi Mafanikio na changamoto za Kilimo nchini na kuchukua hatua katika kuleta mabadiliko ya fikra na maamuzi ili kukifanya kilimo kuwa na tija tangu mlangoni kwako hadi mtaani |
 |
| Hapo bei yake ni alfu kumi na mbili yoooooote!! jamani maisha mnataka yapi kama siyo haya ? |
 |
| Uroho wangu wa soseji bwana ulinitokea puani baada ya kukutana na soseji la kiti motoz!!!! nakwambia mbona nilitoka bila kuaga? eeeeeh nininiĀ |
 |
| Kumbe zilikuwa mixed na za Ng\ombe lakini nikashindwa kuwa mvumilivu nikaishia kisa tu kit motoz mweeeeee |
 |
| Jengo la Posta Njombe kama linavyoonekana |