Log in
Jumuiya ya Uimarishaji Afya, Mazingira na Maendeleo (JUAMA)

Jumuiya ya Uimarishaji Afya, Mazingira na Maendeleo (JUAMA)

ZANZIBAR, Tanzania

KUIMARISHA MAZINGIRA, AFYA NA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO KWA WANAJAMII WA VIJIJI VYA UROA NA MAENEO JIRANI

Latest Updates
Jumuiya ya Uimarishaji Afya, Mazingira na Maendeleo (JUAMA) updated its home page.
March 2, 2011
Jumuiya ya Uimarishaji Afya, Mazingira na Maendeleo (JUAMA) created a Team page.
Name: MUSSA OMAR KHAMIS (B.Art Ed)... Read more
October 17, 2010
Jumuiya ya Uimarishaji Afya, Mazingira na Maendeleo (JUAMA) created a Projects page.
1998: UHAMASISHAJI JAMII ZA UROA, MARUMBI, PONGWE PWANI ILI KUIMARISHA USAFI WA MAZINGIRA NA MATUMIZI YA VYOO HIVYO KUJIKINGA NA MILIPUKO YA MARADHI YA KIPINDUPINDU NA KUHARISHA 1999/2000: UHAMASISHAJI JAMII ILI KUANZISHA VIKUNDI VYA KUPANDA MITI YA MIVINJE NA MIDIMU 2001/2002: KUELIMISHA JAMII ZA WANAKIJIJI WA... Read more
October 17, 2010
Jumuiya ya Uimarishaji Afya, Mazingira na Maendeleo (JUAMA) created a History page.
JUAMA NI JUMUIYA YA KIJAMII (CBO) ILIANZISHWA 1998 NA KUSAJILIWA RASMI 23/9/2005. – REGISTRATION NUMBER: 383/2005 BANK ACCOUNT 031208000156 THE PEOPLES BANK OF ZANZIBAR JUAMA ILIANZISHWA KAMA NI KIKUNDI CHA UHAMASISHAJI KUIMARISHA USAFI NA UPANDAJI MITI KUTOKANA NA MILIPUKO YA MARADHI YA... Read more
October 17, 2010
Jumuiya ya Uimarishaji Afya, Mazingira na Maendeleo (JUAMA) joined Envaya.
October 17, 2010
Sectors
Location
ZANZIBAR, Zanzibar Central/South, Tanzania
See nearby organizations