Prisca akiwa na Benito ambaye ni mtoto ni matunda ya kulea watoto katika asasi hii .hivi sasa yuko darasa la kwanza na Prisca ni mfanyakazi katika ofisi ya Africa Upendo Group.
Vijana wa Africa Upendo Group wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa asasi hii Ndugu Neatness Msemo pamoja na RPC wa mkoa wa kipolisi Kinondoni alipotembelea asasi hii mwezi wa saba 2013
Hapa Mkurugenzi wa Africa Upendo Group akiwasindikiza wageni wake waliomtembelea kwa ajili ya vijana wa ulinzi salama.Hapa Yupo OCD wa kimara na RPC Wambura wa Mkoa wa kipolisi Kinondoni.Utii wa sheria bila shuruti pamoja na major Gervas na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Makuburi.
Mwalimu Paul akiwa na mwenzake Justin wakiwa wanaandika report ya utafiti kuhusiana na uhamiaji holela mipakani na sasa wahamiaji wengi wamehamia mijini na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa kuzuia