Envaya

ELIMISHA

Habari

large.jpg

Mmoja wa kiongozi wa (OA)kutoka ofisi ya Brazil akichukua matukio katika shule ya sekondari mwaji.

large.jpg

Bw.Carl Gann-Rais na Mkurugenzi wa Bodi (OA)akiozunguza na wananchi wa wanafunzi na wananchi wa kata ya Bujela-hawapo pchani.

large.jpg

Baadhi ya wanawake wa kata ya Bujela wakipika.

large.jpg

Baadhi ya watoto yatima wa shule ya msingi Mwaji wilayani Rungwe.

large.jpg

Asante kwa kusaidia jamii ya Tanzania hasa watoto yatina na wanaoishi katika mazingira hatarishi.

large.jpg

Utamaduni huu unasaidia kuimarisha afya za wazee wetu pia ni burudani na kivutio kikubwa cha utalii.

large.jpg

ELIMISHA: Inaendelea kutambua utamaduni wa asili na kupromoti kama moja ya vivutio vya utalii.

large.jpg

Mtendaji mkuu wa shirika la ELIMISHA Bw. Festo Sikagonamo akielimisha baadhi ya wananchi wa kijiji cha Lukasi wilayani Rungwe, kuhusu uhifadhi wa mazingira na ujasiriamali.