Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Mmoja wa kiongozi wa (OA)kutoka ofisi ya Brazil akichukua matukio katika shule ya sekondari mwaji.
Bw.Carl Gann-Rais na Mkurugenzi wa Bodi (OA)akiozunguza na wananchi wa wanafunzi na wananchi wa kata ya Bujela-hawapo pchani.
Asante kwa kusaidia jamii ya Tanzania hasa watoto yatina na wanaoishi katika mazingira hatarishi.
Utamaduni huu unasaidia kuimarisha afya za wazee wetu pia ni burudani na kivutio kikubwa cha utalii.
ELIMISHA: Inaendelea kutambua utamaduni wa asili na kupromoti kama moja ya vivutio vya utalii.
Mtendaji mkuu wa shirika la ELIMISHA Bw. Festo Sikagonamo akielimisha baadhi ya wananchi wa kijiji cha Lukasi wilayani Rungwe, kuhusu uhifadhi wa mazingira na ujasiriamali.