Envaya

ELIMISHA

Habari

FESTO MADINI CHUNYA.wmv

environmental damage that is caused by mining activities in the Chunya district Mbeya Region, Tanzania.
Views: 11
0 ratings
Time: 02:52 More in Education

large.jpg

Hizo ngoma ndogo nne zinaitwa Tumba au pelekete kwa kwa lugha ya asili ya jamii ya wanayakyusa, kwa ujumal mchezo huo unaitwa SAMBA, huchezwa kwa wakati maalum.

large.jpg

Haya twende kazi tucheze pamoja, tudumishe utamaduni wetu wa asili ili kulinda maadili, ngoma hi inaitwa ING'OMA ni ya jamii ya Wanyakyusa...shirika la ELIMISHA linaendelea kuhamasisha utamaduni huo.

large.jpg

ELIMISHA inaendelea kupigania utamaduni wa asili wa Mtazania kama vile ngoma za asili, hi ni moja ya ngoma za jamii ya wanyakyusa , inaitwa ING'OMA.

large.jpg

Baadhi ya vijiji vinahitaji elimu zaidi, ikiwemo ya kuhamasisha usafi wa mazingira ili kuepuka kujisaidia vichakani na kutupa taka hovyo ambazo zinaweza kuleta magonjwa ya mlipuko.

large.jpg

Acha kushangaa watu muda umetutupa endesha tuwahi shule

large.jpg

ELIMISHA inalenga kuwajengea uwezo na kwawezesha wanawake, wanawake hawa licha ya kuwa wazee lakini wameachiwa jukumu la kulea baadhi ya wajukuu zao ambayo ni yatima.

Shirika la ELIMISHA linatoa kipaumbele katika kuhamasisha michezo ya watoto kwa ajili ya kuibua na kukuza vipaji, ingawa maeneo mengi ya vijijini ambako mashirika mengi hayafiki kunachangamoto nyingi kama unavyoona watoto hawa wakiwa wamekosa vifaa muhimu vya michezo.

large.jpg

Hii ni mifereji ya kuzibia maji ili yasiende katika mto Ruaha na kusababisha Mtera ipungue maji, na hii ni moja ya kazi za ELIMISHA katika kuibua uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji.

large.jpg

Hili ni moja la bwawa lililoko katika mashamba ya Mpunga Mbarali ambalo linapoteza maji na kusababisha yasifike bwawa la Mtera kwa ajili ya umeme, halikadharika linahatarisha maisha ya wanayama walioko hifadhi ya Ruaha wasipate maji.