wazee waliotoa mchango mkubwa kwa Taifa kupitia kilimo kwa sasa wanahitaji msaada
Shirika la ELIMISHA limelenga zaidi maeneo ya vijiji na hawa ni baadhi ya walengwa, mtoto akienda sokoni huku akiwa amebeba mzigo wa miwa kichwani na mtoto mtoto mwenzake mgogoni.