sehemu ya Madereva wa magari makubwa yanayobeba mizigo kwenda nje ya nchi wakizungumzia hatua ya kugoma kwao katika eneo la Tunduma, habari hizi ni sehemu ya kazi zilizofanywa na Indaba africa kuweza kufikisha ujumbe kwa watanzania ndani na nje waliokuwa wakifuatilia sakata hilo ambalo hatimaye limefikiwa makubaliano baina ya serikali, wamiliki na maderva wenyewe.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ubanguaji unaofanywa na wakulima wadogo katika kijiji cha Kitama,Wilayani Tandahimba wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi katika ghala jipya za mazao wilayani Tandahimba.
Kaimu Mganga mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Dr.Zulkarnain Ikaji akimwonesha Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete gari la kubebea wagonjwa aina ya bajaj litakalotumika katika Zahanati ya Sengenya wilayani Nanyumbu jana
Rais dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua korosho iliyosindikwa kwa mashine katika kiwanda cha Rift Valey Foods, wilayani Tandahimba.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha Maji ya mradi wa Makonde Water Supply katika bonde la Kitangari wilayani, Newala, mkoani Mtwara wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara.
Rais Dr.Jakaya Mrisho kikwete na kaimu mganga mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Dr.Zulkarnain Ikaji wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi Zahanati ya Sengenya, iliyopo wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara Jana.Picha na Freddy Maro-IKULU



"
Soulja Boy is celebrating turning 21-years-old with a $300K birthday bash in Miami...and a $55 Million private jet to top it off! Yes....you read that number right.
Get the deets on the king of conspicuous consumption inside and find out about the man suing Larry Johnson for assault, and who called him the 'N' word!
A source close to Soulja Boy told TMZ that the rapper bought himself a G5 to celebrate his 21st birthday this week. And guess how much it set him back......$55 Million!
So what does $55M get you these days?
Well....the jet itself cost $35 Million, but Mr. Boy spent an additional $20M pimping the jet out with '...12 custom Italian leather seats, flat screen TVs, 4 liquor bars, a special travertine tiled floor, and Brazilian hardwood cabinets.' He's also installing a luxury bathroom and getting a custom paint job with his logo on it.
And in case you thought that was over the top, he's also spending $300K on a big birthday party in Miami tonight.
Hmmm.....it''s his money and he can do whatever he wants. I just wonder will we be revisiting these purchases in 2021 on VH1 'Behind The Music' wondering what the hell he was thinking...while we trace where all the money was spent.
Also in the news....

Former All-Pro running back Larry Johnson is being sued by a man who claims Larry gave him a brutal beat down after a Miami party. But before you take his side, the man reportedly told the cops 'This n**ger is going down' while he was filing his report.
According to the civil lawsuit fild last week, John Phillip Graney says Larry Johnson punched and kicked him after a party in May. And when Miami beach police responded, John told them,
'This n**ger is going down. He needs to learn a lesson, it's going to cost this prick.'
You can view some of John's injuries here:

John says he suffered cuts to his face and ear, 3 herniated discs and a torn rotator cuff.
When asked about the 'N' word comments, his attorney said John does not recall making those comments. Of course not.
Larry Johnson, who has a history of angry lash outs, has responded through his lawyer saying this is an extortion attempt to get money from him.

"

Mbunge wa Mtera, Job Lusinde akiwa na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 29, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya ya Kanisa la Moravian ya Mbeya Mjini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 29, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)"
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
CHAMA cha Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya(MBPC) kimepokeakwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwanahabari mwenzetu,DannyMwakiteleko kilichosababishwa na ajali ya gari jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa MBPC mkoa wa Mbeya,Christopher Nyenyembeamekielezea kifo hicho kubwa ni pigo kubwa katika tasnia nzima ya habari hasakutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao marehemu enzi za uhai wake.
“Mwakiteleko alikuwa kamusi ya kitaaluma na kisima chafikra,mfumbuzi na mbunifu wa kazi mbalimbali za kihabari na aliweza kufanyakazi zake na kuibua vipaji vya waandishi wengine,hakika wengi hawatakujakumsahau”Alisema Nyenyembe.
Kwa kutambua uwezo aliokuwa nao kwa niaba ya waandishi wahabari mkoa wa Mbeya nachukua fursa hii kutoa pole za dhati kwa ndugu nafamilia yote ya Mwakiteleko bila kuwaacha marafiki zake wa karibu nawafanyakazi wa New Habari alikokuwa akifanya kazi kama Naibu Mhariri Mtendaji.
Kifo cha Mwakiteleko licha ya kuwa pigo kubwa katika tasniaya habari kwa namna moja au nyingine kimetuachia fumbo kubwa kwa wanaharakatiwengine waliokuwa wakitumia kazi zao kupiga vita vitendo vya hujuma,rushwa naufisadi wa kutisha katika Taifa letu.
Mwakiteleko alikuwa kioo hasa cha jamii katika kutekelezamajukumu yake,alikuwa mpole,mkalimu na mcheshi wakati wote lakini alikuwamakini zaidi katika usimamizi na utendaji wake wa kazi ambao ulimjengea heshimana nidhamu kubwa katika uongozi wake kamaMhariri kila alipokuwepo.
Tunatambua kuwa kifo ndiyo njia pekee ya kumtenganisha binadamuyoyote na ndugu zake,marafiki na jamaa wa karibu waliozoeana na kwa kuwa hayondio mapenzi ya MUNGU,tumuache Mungu aitwe Mungu na jina lake lihimidiwe Milele…AMEN.
IMETOLEWA NA
CHRISTOPHER NYENYEMBE
MWENYEKITI
MBEYA PRESS CLUB