Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FESTO, ATHARI ZA KUKAUKA KWA MTO RUAHA MKUU

BAADHI YA MAKUNDI YA WANYAMA WAMEANZA KUPOTEZA MAISHA HUKU WENGINE WAKISUBILI KUFA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA KUTOKANA NA ATHARI ZA KUKAUKA KWA MTO RUAHA MKUU.
Views: 0
0 ratings
Time: 03:13 More in Education

FESTO, HIFADHI MAZINGIRA KUOKOA VYANZO VYA MAJI

ZAIDI YA HEKTA 50000 ZA KILIMO CHA MPUNGA KINACHOTEGEMEA MAJI KATIKA MABONDE YA USANGU NA PAWAGA KATIKA MIKOA YA IRINGA NA MBEYA ZIKO HATARINI KUKOSA UZALISHAJI NA KUHATARISHA USALAMA WA CHAKULA KWA MIAKA MICHACHE IJAYO BAADA YA HALI YA MAJI KUZIDI KUWA MBAYA...Kwa taaira zaidi bofya kwenye picha.
Views: 0
0 ratings
Time: 02:11 More in Education

PROGRAM YA MAJI RUAHA,BONDE DOGO LA MTO NDEMBELA.

ZAIDI YA WADAU WA MAJI 100 KUTOKA ENEO LA PROGRAMU YA MTO RUAHA MKUU WAMEKUTANA KUJADILI MATATIZO YA MTO HUO AMBAPO MENEJA WA PRPGAMU YA MAJI KUTOKA SHIRIKA LA WWF NCHINI UINGEREZA BWANA ROBERT SMITH AMESEMA KUWA JUHUDI ZAIDI ZINAHITAJIKA ILI KUOKOA HALI YA MTO HUO.
Views: 0
0 ratings
Time: 03:03 More in Education

FESTO,HIFADHI RASILIMALI ZA MAJI

JITIHADA ZA KUOKOA THE GREAT RUAHA NINAWEZA KUFIKIWA HARAKA IWAPO KASI YA KILIMO CHA VINYUNGU KATIKA VYANZO VYA MAJI KILICHOSHAMILI KATIKA MAENEO MENGI WILAYA YA MUFINDI MKOANI IRINGA KIDHIBITIWA HARAKA.
Views: 0
0 ratings
Time: 02:05 More in Education

FESTO MABONDENI MBEYA

Wanaoishi mabondeni Mbeya watahadharishwa kuhusu mafuriko.
Views: 0
0 ratings
Time: 02:38 More in Education

FESTO WAZEE RUJEWA

Baadhi ya wazee nchini Tanzania wanaishi kwa shida hasa katika maeneo ya vijijini
Views: 0
0 ratings
Time: 02:58 More in Education

large.jpg

Mmoja wa wazee kata ya Bujela mwenye umra wa zaidi ya 80 akivuta tumbaku.