FESTO, ATHARI ZA KUKAUKA KWA MTO RUAHA MKUU
BAADHI YA MAKUNDI YA WANYAMA WAMEANZA KUPOTEZA MAISHA HUKU WENGINE WAKISUBILI KUFA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA KUTOKANA NA ATHARI ZA KUKAUKA KWA MTO RUAHA MKUU. |
From:
Festo Sikagonamo
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 03:13 | More in Education |
Maoni (0)
FESTO, HIFADHI MAZINGIRA KUOKOA VYANZO VYA MAJI
ZAIDI YA HEKTA 50000 ZA KILIMO CHA MPUNGA KINACHOTEGEMEA MAJI KATIKA MABONDE YA USANGU NA PAWAGA KATIKA MIKOA YA IRINGA NA MBEYA ZIKO HATARINI KUKOSA UZALISHAJI NA KUHATARISHA USALAMA WA CHAKULA KWA MIAKA MICHACHE IJAYO BAADA YA HALI YA MAJI KUZIDI KUWA MBAYA...Kwa taaira zaidi bofya kwenye picha. |
From:
Festo Sikagonamo
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 02:11 | More in Education |
PROGRAM YA MAJI RUAHA,BONDE DOGO LA MTO NDEMBELA.
ZAIDI YA WADAU WA MAJI 100 KUTOKA ENEO LA PROGRAMU YA MTO RUAHA MKUU WAMEKUTANA KUJADILI MATATIZO YA MTO HUO AMBAPO MENEJA WA PRPGAMU YA MAJI KUTOKA SHIRIKA LA WWF NCHINI UINGEREZA BWANA ROBERT SMITH AMESEMA KUWA JUHUDI ZAIDI ZINAHITAJIKA ILI KUOKOA HALI YA MTO HUO. |
From:
Festo Sikagonamo
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 03:03 | More in Education |
FESTO,HIFADHI RASILIMALI ZA MAJI
JITIHADA ZA KUOKOA THE GREAT RUAHA NINAWEZA KUFIKIWA HARAKA IWAPO KASI YA KILIMO CHA VINYUNGU KATIKA VYANZO VYA MAJI KILICHOSHAMILI KATIKA MAENEO MENGI WILAYA YA MUFINDI MKOANI IRINGA KIDHIBITIWA HARAKA. |
From:
Festo Sikagonamo
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 02:05 | More in Education |
FESTO MABONDENI MBEYA
Wanaoishi mabondeni Mbeya watahadharishwa kuhusu mafuriko. |
From:
Festo Sikagonamo
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 02:38 | More in Education |
FESTO WAZEE RUJEWA
Baadhi ya wazee nchini Tanzania wanaishi kwa shida hasa katika maeneo ya vijijini |
From:
Festo Sikagonamo
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 02:58 | More in Education |