Envaya

ELIMISHA

Habari

large.jpg

Shirika la ELIMISHA limelenga zaidi maeneo ya vijiji na hawa ni baadhi ya walengwa, mtoto akienda sokoni huku akiwa amebeba mzigo wa miwa kichwani na mtoto mtoto mwenzake mgogoni.

large.jpg

tatizo la Maji,Wanafunzi wakifukua mchanga kutafuta maji.